UTACHEKA NDARO NA STEVE WALIVOUMBUKA ET WACHUNGAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 мар 2025
  • #comedy #chekatu #movie #funny #stevemweusi #ndaro #trending #wasafi

Комментарии • 440

  • @Fedemugosa730
    @Fedemugosa730 27 дней назад +42

    Hivi vicwa viwili leo naamini kua ni vichaa kweli ... anaye nikubali agonge like zake hapa.... tokea Canada

  • @MectridaDaud
    @MectridaDaud 27 дней назад +16

    😂😂😂 ndaro bila steve hapanogi,na steve bila ndaro kaz hainogi😂😂

    • @halima2382
      @halima2382 21 день назад

      😂😂😂😂kabc wewh hawa watu

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 5 часов назад

      Siteve ndo mkari kuriko ndaro

  • @arnold_victor
    @arnold_victor 27 дней назад +18

    Afande mpitisheni steve na ndaro wakachukue boxer😂kabla ya kuwapeleka jela😂

  • @Rojasmwelinde
    @Rojasmwelinde 27 дней назад +35

    Nawaombea kabla ya 2026 mtakuwa komediani Bora East Africa nzima naomba like wanaotazama apa

  • @Anzelim_254
    @Anzelim_254 27 дней назад +12

    Ndaro na steve nawatambua huku kenya
    Napenda cinema zenu 😂❤

  • @Graphixdesigner2000
    @Graphixdesigner2000 27 дней назад +24

    jaman msishangae waliapa mbele ya mama "NDO TUNAENDA KUEHUKAAA"😂😂😂

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 26 дней назад +1

      Kweli nakumbuka😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SunMelody-n8q
    @SunMelody-n8q 25 дней назад +3

    sana boss ndaro nimeweKa MB kwaajili yenu na steve mweus apa nipo niangalie kama umeachia mpy asanten san kila mnapo achia mi chapu kuwacheki 🎉🎉🎉

  • @JacksonDastan-fv9iq
    @JacksonDastan-fv9iq 27 дней назад +33

    Ndaro na Steve wanaupiga mwingi😅😅😅

  • @JojmiJohn
    @JojmiJohn 27 дней назад +12

    Steve na ndaro nawapendaga Sana huku BURUNDI tunawaheshima Sana brothers

  • @RobertErnest-ym9ij
    @RobertErnest-ym9ij 27 дней назад +14

    Steve umesemaje hapo et Mbolo mwenyewe kama ni tusi 😂😂😂😂😂

  • @princearthurjohn8397
    @princearthurjohn8397 27 дней назад +15

    Napenda hii combination 😂😂😂

  • @zebedeeojamong
    @zebedeeojamong 26 дней назад +9

    Wa kwanza from the capital city of Africa(Kenya)

  • @Borderonemediastudio
    @Borderonemediastudio 26 дней назад +7

    Nawapenda Max na Zembwela Senga na pembe sasa ni Stive na ndaro😂😂❤

  • @BerlinPetro-w4d
    @BerlinPetro-w4d 27 дней назад +5

    😂 Kuoga aaah kulazimisha watu wa kope bando 😂😂😂

  • @YunusStoper
    @YunusStoper 27 дней назад +45

    Nimewafatilia awa jamaa adi nmekua comedian 😂😂😂

  • @SamsonSimon-og2ss
    @SamsonSimon-og2ss 27 дней назад +4

    Hahaha ndaro bna ....huwa unamchukuliaje Steve 😂😂😂😂

  • @kabikamussa2393
    @kabikamussa2393 27 дней назад +29

    Mpomo ni komwe kigoma ndo tunaita mpomo 😂😂😂😂😂

  • @LettyLussi
    @LettyLussi 27 дней назад +2

    Steve iyo suti ungevaa kwenye tuzo ungepungukiwa nini mwehu😂😂😂😂

  • @MatayoEriyasi
    @MatayoEriyasi 27 дней назад +5

    Ndaro nakukubali sana Mungu awabariki sana mnao msapot ❤❤❤❤😂

  • @ZaituniKweka
    @ZaituniKweka 27 дней назад +7

    Baada ya kupewa tuzo ndo mnakuwa Vichaa kabis😅😅😅😂😂

    • @Jazra-17A
      @Jazra-17A 26 дней назад +2

      Ni uchizi tyu😂😂😂😂

    • @Jazra-17A
      @Jazra-17A 26 дней назад +2

      Mpaka wanyakue nyingine next time

    • @jipsonmwampagatwa
      @jipsonmwampagatwa 24 дня назад

      ​@@Jazra-17A🎉

  • @RobertDrc-p4e
    @RobertDrc-p4e 27 дней назад +1

    Muko nafanya uezi wenu kwenyi kazi ya mungu munafikili hamuto kamatwa😂😂 nawapenda sana ♥️🎉🎉

  • @MwantumuHassani-f9f
    @MwantumuHassani-f9f 27 дней назад +12

    Kazi nzur stive na ndaro nawapenda sana😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @MwantumuHassani-f9f
    @MwantumuHassani-f9f 27 дней назад +4

    Walahhi nimecheka stivu nawanyea😂😂😂

  • @HawesididhahabuKaidza
    @HawesididhahabuKaidza 27 дней назад +2

    Kwel yohana alimkana petrol mara tatu aki Steve ww😂😂😂

  • @AlmondOlivine_Official
    @AlmondOlivine_Official 27 дней назад +72

    Nitawaiona nimevuma Kweli 😢me n msanii wa bongo flavor na love songs guys support me 😢😢

  • @Salamakassim-n6o
    @Salamakassim-n6o 25 дней назад +2

    Yohana alimkana petro mara tatu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Barackjumah
    @Barackjumah 27 дней назад +6

    Collaboration moja Kali sanaa

  • @HappyCheckeredFlags-cp2ep
    @HappyCheckeredFlags-cp2ep 25 дней назад +1

    Eti nawanyea🤣🤣li stive na akili zake linaweza kunya kweli

  • @IsakaElias-kd7rv
    @IsakaElias-kd7rv 27 дней назад +6

    Mimi siendi popote mtaniuia humuhumu🤔 😂😂

  • @KisMuyisa
    @KisMuyisa 25 дней назад +1

    😂😂😂😂😂 mungu wangu nyinyi muta ni uwa naku cheka

  • @PaulKulwa-zz9nk
    @PaulKulwa-zz9nk 24 дня назад +1

    Ety jela na suruali tupu 😂😂 steve ameshindikan

  • @AMOSFUPI
    @AMOSFUPI 27 дней назад +1

    tuzo zenu hazitusumbui mjiandae kupokea tena DUO😂😂😂❤

  • @BarakaAidani-h8z
    @BarakaAidani-h8z 25 дней назад +4

    Daah Sadaka inawekwa kwenye koti

  • @AbdulaziziMkoloka
    @AbdulaziziMkoloka 27 дней назад +9

    Waha wa kigoma mnaolikumbuka neno tujuane
    Wasiojua mpomo ni nini maana yake ni komwe

    • @modestiahmed
      @modestiahmed 26 дней назад +1

      Mpomo n komwe uvinza moja😂😂😂😂

  • @GazelleGazmachukrani
    @GazelleGazmachukrani 25 дней назад +2

    yohana kamukana petro Mara tatu 😂😂😂

  • @JeremiahOmache
    @JeremiahOmache 27 дней назад +3

    🤣🤣🤣🤣hii combination inakuanga kali

  • @TinahLamajo-xb9xe
    @TinahLamajo-xb9xe 26 дней назад +3

    Mpomo 😂😂😂 wasijuwa anamansha komwe

  • @josemangula8806
    @josemangula8806 26 дней назад +1

    Jamani nipo ofisini na watu wanapita nimecheka sasa hawajui nimecheka nini natamani niwaelekeze ila hawajaniuliza sijui wananiwazia nini da!😂😂😂

  • @Blizzycode
    @Blizzycode 26 дней назад +2

    Mnanipekeje jela na suluali tupu!!!😂😂

  • @Sharobarowajombe
    @Sharobarowajombe 27 дней назад +1

    Uyo Dada yupo serious utafikiri ni kweli 😅😅

  • @kinyozy5292
    @kinyozy5292 20 дней назад +2

    yaan wakupewa tuzo pekee ni jot na steve na ndaro nisisme uongo wasanii wengne wanagpa kushot ila hiv vichwa like 100

  • @sadikihalfani
    @sadikihalfani 26 дней назад +3

    Petro tatu yohan mstari Wa nne😅😅😅

    • @Chris_Sixteen16
      @Chris_Sixteen16 26 дней назад +1

      Yote Ni Vilevile Tu 😂, Yote Sawa 😂😂🙌🙌 Shenz Hawa 😅

  • @LaitonKasitu-z4q
    @LaitonKasitu-z4q 27 дней назад +7

    Ahahahahahahha nyie majamaa hatari

  • @calambasmusembi5201
    @calambasmusembi5201 26 дней назад +5

    Nipeeni likes za stevu hapa jameni Toka Kenya mm

  • @NewtonthaCatarina
    @NewtonthaCatarina 27 дней назад +2

    Ila ndaro Kwa nchongo tu nakubali😅😅😅🇲🇿🇲🇿

  • @AsifianoKalehemero
    @AsifianoKalehemero 24 дня назад

    Ila Steve na ndaro nyinyi ni chiziiii ama watu wa zima kweli jamani na wa penda buree toka congo 🇨🇩🇨🇩mu barikiwe milele

  • @MuneneMbosso
    @MuneneMbosso 26 дней назад +1

    haki wazee wakinisuport imagine naweza kuwa comedian kama hakina steve na daro😅😅

  • @RaymondSokolo-z7s
    @RaymondSokolo-z7s 25 дней назад +1

    Hawa jamaa wanaweza me from Italy 🇮🇹

  • @JovitaBuberwa
    @JovitaBuberwa 27 дней назад +2

    Sauti ninayo na ninatambano😂😂😂😂

  • @EmillyNymwaya
    @EmillyNymwaya 27 дней назад +1

    Akuna mchungaji hapa😂😂😂😂 😂😂😂

  • @IreneAdam-g5z
    @IreneAdam-g5z 26 дней назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Yaaan nimecheka mpaka nimelia 😂

  • @PaschalAndason-n5q
    @PaschalAndason-n5q 26 дней назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂nawakubali sana mnajua sana

  • @mpitiamry
    @mpitiamry 26 дней назад +1

    😂😂😂Kuna swala yakusakiloji kidogo😂😂😂

  • @DanielDominico
    @DanielDominico 25 дней назад +1

    😂😂😂nitakuwasha kobao cha mpomo
    Mpomo mwenyew kama ni tuc
    Ow kma umexkia kanzu moko like hapa

  • @OmbenBalagomwa
    @OmbenBalagomwa 26 дней назад +1

    ,,,,,,,,,,,vyote vinafanana😂😂😂..we ndaro ni gitwe kwel

  • @sadikihalfani
    @sadikihalfani 26 дней назад +1

    Aya mambo yamejaa uku mbeya😅😅😅

  • @CondeboyAmisi
    @CondeboyAmisi 27 дней назад +2

    Mucheshi kikofia VIP mzeee Mimi Niko 🇨🇩🇨🇩🤜🤜🔥

  • @harrietajiambo229
    @harrietajiambo229 13 дней назад

    Kweli Yohana alimkana YESU mara tatu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @FutureBoy-ni6yn
    @FutureBoy-ni6yn 23 дня назад

    Tunataka bwana aseme nanyi jioni ya leo😮😂😂😂😂

  • @HildaChard-vl1jb
    @HildaChard-vl1jb 27 дней назад +1

    Sauti ninayo na ninatamba nayo nan kaiskia hiyo😂😂😂

  • @hancytounder
    @hancytounder 27 дней назад +1

    Petro tatu,yohana mstari wa nne yakobo tisa😂😂😂

  • @SaumuAli-v7d
    @SaumuAli-v7d 26 дней назад +1

    Sauti ninayo na nataman nayo😂😂

  • @PillyYusuph
    @PillyYusuph 26 дней назад +1

    Ila stev na ndaro kibok😂😂😂😂😂😂

  • @GodfreyCriford-x2p
    @GodfreyCriford-x2p 19 дней назад

    Tupitie mbagala kiburugwa nikachukue boxer 🤣🤣🤣🤣🙌

  • @Sasiyusuf
    @Sasiyusuf 27 дней назад +1

    Eti yohana kamkana petero mara tatu...😂😂..shenzi sana

  • @OBARIOSCAR
    @OBARIOSCAR 20 дней назад

    Kaka Steve kama kimeumana?🙆🙆🤣🤣🤣🤣

  • @GeorgeKomesho
    @GeorgeKomesho 25 дней назад +1

    Nyie niliwakut tiktok kumbe ndo ilikua hiv haya bhalnaaa😂😂😂😂

  • @EstherMaduhu
    @EstherMaduhu 25 дней назад +1

    Noma sanaa😅😅😅

  • @queenkihunrwa6743
    @queenkihunrwa6743 24 дня назад

    😂😂😂😂 Steve nakupenda Bure 😂😂😂

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 15 дней назад

    😂😂😂😂hawana akili kwakweli

  • @lucyigogo9558
    @lucyigogo9558 22 дня назад

    Nimecheka sana akii😂😂😂😂😂

  • @agnesspeter-uu1xp
    @agnesspeter-uu1xp 26 дней назад +1

    Ila steve et ni utani tu😂😂😂

  • @AminaKassim-t5f
    @AminaKassim-t5f 20 дней назад

    Ivi mna uhakik Hawa wazima 😂😂😂😂

  • @RashidMloge
    @RashidMloge 23 дня назад

    Mlistahili Tuzo kakaaa😂😂😂😂😂

  • @AnnaAnney-pc4ui
    @AnnaAnney-pc4ui 27 дней назад +2

    Yohana alimkana Petro mara mbili ila Steve 😂😂😂😂

  • @kelvinnyunza-us9jj
    @kelvinnyunza-us9jj 26 дней назад +1

    Ila hii do dah😂😂😂

  • @aronearon5904
    @aronearon5904 18 дней назад

    hawa jamaa ni hatari sana hahhaahahahahahahahahah

  • @monicalata6715
    @monicalata6715 27 дней назад +1

    Nawapenda bure jamn dah mungu awafikishe mbali

  • @MbokiweMwashibanda
    @MbokiweMwashibanda 27 дней назад +2

    Stev Hana akili kweli aende milembe🤣🤣🤣🙌🙌

  • @CarolMercy-p9q
    @CarolMercy-p9q 23 дня назад

    😂😂😂😂bakini na roho wa bwana😅

  • @EricBigirimana-j6b
    @EricBigirimana-j6b 11 дней назад

    Nakupenda San Steve na ndaro

  • @Ritanzuruke
    @Ritanzuruke 27 дней назад +6

    wa kwanza kutoka kenya wpy likes zangu jameni

  • @LilianTarimo-l5y
    @LilianTarimo-l5y 23 дня назад

    Mbona kona ya kaloleni so 😅😅😅😅😅😅

  • @GodeHarzingum-p7c
    @GodeHarzingum-p7c 27 дней назад

    Mamake na mama jamaa eti nawanyea🤣🤣🤣🤣🤣

  • @frolencesimchile4719
    @frolencesimchile4719 26 дней назад +1

    kweli kuwehuka kumeanza hahahahhaah

  • @PhastrivianTrivian-s4t
    @PhastrivianTrivian-s4t 23 дня назад

    Mwafurahisha🎉🎉🎉❤

  • @Mwanaisha-h4h
    @Mwanaisha-h4h 23 дня назад

    Eti kabisa lake liko online😂😂😂

  • @bridgeict
    @bridgeict 24 дня назад

    wenzangu steve na ndalo chukueni boxer 😀😀😀😀😀😀

  • @Chrisbizzy-43
    @Chrisbizzy-43 27 дней назад +4

    Haha nyi mbwa nyinyi apana🥰🥰🥰🥰

  • @FutureBoy-ni6yn
    @FutureBoy-ni6yn 23 дня назад

    Mchungaji wa mi dred 😂😂😂😂

  • @JohnbuhuruJohnbuhuru
    @JohnbuhuruJohnbuhuru 27 дней назад +2

    😂😂😂😂 Mwamba kakimbia nasadaka

    • @LettyLussi
      @LettyLussi 27 дней назад +1

      Ata mie ningesepa😂

  • @James-h9i7l
    @James-h9i7l 14 дней назад

    Tumieni Speaker 🔊 za Jizzo❤❤❤❤

  • @RehemaSaid-ww1mm
    @RehemaSaid-ww1mm 13 дней назад

    Walisema lakini tumechekesha kidogo tumepwa tuzo "sasa ndo tunaenda kuweuka jumla"

  • @SelemanealfaneChiloloma
    @SelemanealfaneChiloloma 10 дней назад

    From Mozambique 🇲🇿 😅😅😅😅

  • @JumilaMhada
    @JumilaMhada 20 дней назад

    Ila hivi vichwa ni balaa😂😂

  • @MwaniPh
    @MwaniPh 24 дня назад

    Dubu kasepa na buku la watu😅😅

  • @Carl-ki
    @Carl-ki 27 дней назад +2

    Idea poa ndaro
    Ila baba wewe na stivu muachie kazi kwa wingi

  • @KASONGO_254
    @KASONGO_254 25 дней назад

    Mutch love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪+254

  • @habiba33733
    @habiba33733 26 дней назад

    Kibao cha mbomo hatariii 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ShottojumandakamaNdakama
    @ShottojumandakamaNdakama 27 дней назад

    Kazi nzuri sana 🌹🥀💯❤️