Just nakumbuka nikiwa secondari nakesha usiku kucha napiga msuli.......kama umeshawahi kesha na nyimbo hii ukiwa unapiga msuli skuli gonga like tujuane!
Daaa aisee nimeusikia huu wimbo leo. Bonge moja la traki. Nilijua tu lazima uwe ni wa zamani. Maana una huu mziki una VIWANGO ambavyo miziki ya sasa haina. Nyimbo kali sana. Nimeisikia leo tarehe 2/11/2022
The Actor anaekataa shule na kutaka kufanya mziki katika huo wimbo ni Mimi My artist Name is DQ we have Group name called Mobb sellaz na hii ndio ilikua kazi ya kwanza kumtoa Estaam then nifate mimi, but life letu la mziki halikutokea kua na muda mrefu tukapotea, but i wish kurekodi one day, life is interest journey you never know where it take you, TI ft rihanna live your life.
African beatz ilikuwa show yangu pendwa. Nilikuwa na redio ya betri kubwa 2 nilikuwa nahakikisha ile show niko live alaf redio yangu nlikuwa naifunika kwenye mtungi. Nakumbuka D7 alivokuwa anacheka kwenye ile show....Jeff alikuwa akiachiwa ulingo ni kopo juu ya kopo hawakuwa wanabania underground wala anaejulikana zilikuwa zinapigwa mpaka saa 3 usiku 😢
Just nakumbuka nikiwa secondari nakesha usiku kucha napiga msuli.......kama umeshawahi kesha na nyimbo hii ukiwa unapiga msuli skuli gonga like tujuane!
Kibaha secondary school...nakumbuka maisha ya zamani
@officialK-looh we enjoyed the good music
This chorus from makamua , was a masterpiece. Mad love from Mississippi ❤🔥
hii ngoma inanipaga sana kmbukumbu bora sana za maisha 2024❤
Toka kenya aisee
Hatari kamili
mob love makamua on the chorus mzuka sana
Ngoma kali sana mazee 2024
bado tunaenda 2026
Huuu unyama koma sio pw🎉🎉🎉 mauwa yake
Aliyeisikiliza 2024 gonga like yako apa
Who still listening this song 2023 bonge la ngoma linaishi
Wasanii wa zamani walifanya kazi nzuri sana. Hawa takataka za siku hizi wanaimba ushenzi tu. Daima nitasikiliza bongo flavour ya zamani.❤
Ngoma inanikumbusha mbali Sana hii2008 uko daah kweli tunakua tunazeeka
Yeah!kabisa mwanangu ule mwaka 2008 vilitoka vyuma vikali sana
Makamua kapita apa kazin kwangu daah wasanii wazamani wanatia huruma
Kiburudisho sahihi. Nasikiliza, natafakari, natafaruku. Maisha marefu sana Bongo fleva 🇰🇪🇹🇿.
Wakati huo ninaimba kupitia biti zenu du kwer maisha ya zamani.
Bonge la wimbo... who still listen in 2022.. gonga like twende sawa....
Noma
Dah MAKAMUA ni kwere alooo
Nouma 🎉🎉🎉🎉
Nlitafuta huu wimbo Allahamdulilah Leo ndo naupata duh!
Narudia tena kusikila leo 01.07.2024 one of the big track in ma life,mnyamwezi alipasuka vibaya sana aiseee.....
Daaa aisee nimeusikia huu wimbo leo. Bonge moja la traki. Nilijua tu lazima uwe ni wa zamani. Maana una huu mziki una VIWANGO ambavyo miziki ya sasa haina. Nyimbo kali sana. Nimeisikia leo tarehe 2/11/2022
Asante sana tafadhali share mara nyingi uniunge bro! Asante
@@lucymusibah8065 haha poapoa Lucy
Ngoma kali sana
Much love from bondeni
Daaah 😢 long time miaka imepita mazeee
Kitambo sana janan😢😢
😢😢 hatari kk
2008
Mambo vp kaka Rudi kwenye geme hua napenda sana kucheki nyimbo yako ya. history ww fg makamua
Sikiliza wimbo Kwa makini wewe.. hii pumbu sio poa wahenga
Makamua ni noma dah
Naupenda huu wimbo jamani
Ebwana hili goma halichuji kabisa
Estam yupo wap sasa
da naukumbuka san huu wiimbo
Duuuuuh ninomaaaa sana
The Actor anaekataa shule na kutaka kufanya mziki katika huo wimbo ni Mimi My artist Name is DQ we have Group name called Mobb sellaz na hii ndio ilikua kazi ya kwanza kumtoa Estaam then nifate mimi, but life letu la mziki halikutokea kua na muda mrefu tukapotea, but i wish kurekodi one day, life is interest journey you never know where it take you, TI ft rihanna live your life.
Aisee Pole sana Na Shukran sana kwa Ufafanuzi huo, vipi Estaam kwasasa Yupo Wapi?
@@BongoZaKitambo55 Estaam yupo town ana biashara zake tu.
samahani ikiwa tafsiri hii sio sahihi kwani siwezi kuandika kwa kiswahili. Estaam ni ndugu yangu
Daud mwanangu tumepoteana Sana toka mbezi beach high school
Jamani Sura haijapotea, Mungu akutimizie ndoto zako insha'Allah
Very good song lyrics
hiz ndo ngoma tumezaliw tunaziskia sio upuuz wa kisasa hiv daa
Huu ndio ulikuwa muziki, saivi wamejaa washenzi watupu wanabebwa na media zao za mashoga😢
Ngoma kali leo hii june 2022 gonga like kama unaisikiliza leo
Thank you share
Skiliza hii stori nakumbuka maisha ya zamani..... so sad
Noma sana
Hot song since then...still tunausikiliza tunaomba mtuwekee boomplay na platform zingine
2023 still hot
06.02.2025
Hii Storiii !!!
Im still listen this song Viva long live my brother
Memerlukan lebih ramai orang jadi sebarkan video ini lebih banyak
Ok
nakumbuka kitamboo sn kwenye myaka ya 2000
Huo ni uongo bhana.
2008 nyimbo hii
Duh aiseee
Diamond
Estaaam
Estaam
Demand ya mziki wangu
may 2022
African beat kiss fm way back pale dj jeff jelly pale D7
African beatz ilikuwa show yangu pendwa. Nilikuwa na redio ya betri kubwa 2 nilikuwa nahakikisha ile show niko live alaf redio yangu nlikuwa naifunika kwenye mtungi. Nakumbuka D7 alivokuwa anacheka kwenye ile show....Jeff alikuwa akiachiwa ulingo ni kopo juu ya kopo hawakuwa wanabania underground wala anaejulikana zilikuwa zinapigwa mpaka saa 3 usiku 😢
hiyo show mzee vijana wote wa enzi hizo ikifika saa kumi na mbili jioni kila mtu na redio yake 😂😂😂@@punchlinetz
Estaam Uko wapi bro.talent kubwa mno
He's in dar es salaam
yupo singida asee uyu jomba
@@lucymusibah8065 no
PLEASE HII NYIMBO IRUDIWE UPYA
Umesema kweli
2023❤❤
Makamuuua
Yupo Zanzibar sasa nilisoma naye secondary huyu mwamba.
Where's Estaam
He's in Dar es Salaam
Iyo beat imepoa sana
Achana na mapiano 🚮